Перейти к содержимому

🔊 BONGO OLD SCHOOL VIBES MIX 2026 | LADY JAYDEE, TMK, KASSIM MGANGA & MORE | DJ FRASH255

Dj frash255

0:00 / 0:00

🔊 BONGO OLD SCHOOL VIBES MIX 2026 | LADY JAYDEE, TMK, KASSIM MGANGA & MORE | DJ FRASH255

4 401 просмотр · 3 дня назад
Dj frash255
353 подписчика
4 401 просмотр · 3 дня назад
🔥 KARIBU KWENYE BONGO FLEVA ZA KITAMBO MIX 🔥 Safari ya kurudi kwenye enzi za vibao vya Bongo Fleva vilivyotamba miaka iliyopita! 🎶❤️ DJ FRASH255 POWER MIXER anakuletea mchanganyiko wa nyimbo za kitambo, vibao vya kukumbukia enzi hizo na nyimbo tamu za kuchezeka zilizotikisa mitaani, kwenye sherehe na kwenye dance floor. 🎤 Utasikia nyimbo za wasanii kama: ✅ Diamond Platnumz ✅ Alikiba ✅ Matonya ✅ Lady Jaydee ✅ TMK Wanaume ✅ Kassim Mganga ✅ Ommy Dimpoz ✅ Abdukuba 🔥 Na wasanii wengine wengi! Hii ni mix kwa wapenzi wa Bongo Fleva ya zamani wanaopenda kukumbushia enzi, kuimba pamoja na kucheza vibao vilivyobaki kwenye historia ya muziki wetu. 🎧 MIX BY: DJ FRASH255 — POWER MIXER 👍 LIKE 💬 COMMENT wimbo uliokukumbusha enzi zako 🔔 SUBSCRIBE kwa mixtape mpya na maudhui mengine ya DJ. 📲 SHARE na marafiki zako wanaopenda Bongo Fleva za kitambo. #BongoFlevaZaKitambo #BongoFleva #BongoClassics #DJFRASH255 #BongoMix