RBA Service Charter Sign Language Kiswahili
Retirement Benefits Authority-Kenya
0:00 / 0:00
RBA Service Charter Sign Language Kiswahili
174 просмотра · 3 г. назад
Retirement Benefits Authority-Kenya
434 подписчика
174 просмотра · 3 г. назад
Hati hii ya Utoaji wa Huduma ni ahadi yetu ya kutoa Huduma ya hali ya juu kwa wateja wetu wote. Hati hii inaweka viwango vya Huduma ambavyo lazima vitimizwe wakati unapokea Huduma kutoka kwa Mamlaka au wafanyakazi wake.
Hati hii inaeleza haki na majukumu ya wateja and pia utaratibu wa kufuatwa ikiwa viwango vya Huduma vilivyowekwa na Mamlaka havijatimizwa.