ZUIA MACHOZI II LTM MUSIC [OFFICIAL VIDEO]
LTM MUSIC
0:00 / 0:00
ZUIA MACHOZI II LTM MUSIC [OFFICIAL VIDEO]
244 154 просмотра · 4 месяца назад
LTM MUSIC
6,22 тыс. подписчиков
244 154 просмотра · 4 месяца назад
LYRICS
ZUIA MACHOZI
CHORUS
Zuia machozi yatiririka mashavuni mwao huenda utaokoa kizazi chako cha kesho Mungu hubariki wale watendao mema hebu zuia machoz yao.
1
Sasa kama Mungu mmoja Rangi ya damu ni moja Hewa twapumua moja Jua lang'a kwa wote Mvua hunyea kwa wote mbona twatesa wenzetu hebu tenda wema na uende zako.
2
Uliye na cheo wewe tunza wadogo wako.Heshima na utu wema Umoja kushikamana. Chunga usiwanyanyase wafanye wakijuta. machozi yao yasikuathiri kesho.
Bridge
Kuna wale walio jela kwa kusingiziwa tu
Zuia machozi yao
Mjakazi yule nyumbani mazingira ya kazi ngumu.
Zuia machozi yake
Mahusiano yaisha ghafla ukosefu wa masilahi tena.
Zuia machozi yao
Mama wa kambo umyewatesa watoto mke mwenza.
Zuia machozi yao
3
Mauaji vifo ajabu familia zinalia. Walofutwa kazi kwa sababu zisizokweli. Vurugano ya wanandoa famila zavunjika Ikiwa wewe u chanzo ya machozi haya zuia.
CREDITS
Composition:Wiclief Oguta
Track: Ben
Arrangement: Enock & Lowell
Audio: LTM_WORLD
Video: Shariff
Mixing & Mastering: Daniel J
Sign Language: Dolfine M
Contact Us On
Call/Whatsapp: +254727251675
Email: livetunesmedia@hmail.com
#Gospelmudic
#WorshipMusic
#ChristianMusic
#GospelSong
#PraiseAndWorship
#NewGospel
#GospelArtist
#Worship
#ZuiaMachozi
#LTMMUSIC
#SwahiliGospel
#GospelLyrics
#KenyaGospel
#ChristianMusic
#WorshipSongs
#PraiseAndWorship
#AfricanGospel
#InspirationalMusic
#TendaWema