Kufanya Mambo katika Ulimwengu wa Roho
Mtumishi wa Mungu: Dennis Justine
0:00 / 0:00
Kufanya Mambo katika Ulimwengu wa Roho
10 просмотров · 2 мес. назад
Mtumishi wa Mungu: Dennis Justine
69 подписчиков
10 просмотров · 2 мес. назад
#KUFANYA MAMBO KATIKA ULIMWENGU WA KIROHO
..........
#MANENO - Mithali 18:21
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi; Na wao waupendao watakula matunda yake.
....................................
#ISHARA - 2Wafalme 13:18-19
Akasema, Itwae mishale; akaitwaa. Akamwambia mfalme wa Israeli, Piga chini; akaipiga nchi mara tatu, akaacha. Yule mtu wa Mungu akamkasirikia, akasema, Ingalikupasa kupiga mara tano au mara sita; ndipo ungaliipiga Shamu hata kuiangamiza; bali sasa utaipiga Shamu mara tatu tu.
............
#MAWAZO - Mathayo 14:30-31
Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, 'Bwana, niokoe! Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, 'Eee mwenye imani haba, mbona uliona shaka?'"