HATIMA YANGU - SEHEMU YA 02 |Simulizi Tamu Ya Mapenzi - Binti Mrembo Mwenye Kiburi | KAKA J SIMULIZI
Kaka J Simulizi
0:00 / 0:00
HATIMA YANGU - SEHEMU YA 02 |Simulizi Tamu Ya Mapenzi - Binti Mrembo Mwenye Kiburi | KAKA J SIMULIZI
222 просмотра · 2 недели назад
Kaka J Simulizi
19 подписчиков
222 просмотра · 2 недели назад
HATIMA YANGU EP 02 | Simulizi Tamu Za Mapenzi - Kaka J Simulizi Tamu
Katika EP 01, tulimuona Shani binti mrembo wa kijiji cha Mwamgongo, mwenye kiburi kikubwa aliyedharau wanaume wote wa kijijini akisema sio level zake. Mama yake Bi Zainabu alimuonya lakini hakusikia.
Sasa katika EP 02, kijana mpya aitwaye Juma anaingia kijijini akiwa na gari na suti kali. Shani anavutiwa naye mara moja na kudhani ndiye HATIMA yake ya mjini. Lakini Shani hajui Juma ni nani hasa na amekuja Mwamgongo kwa nini?
Je, kiburi cha Shani kitamponza?
Je, Juma ni mume wa ndoto au mwanzo wa majonzi?
Simulizi hii ni ya Shani, binti aliyeamini uzuri ndio kila kitu hadi HATIMA ilipomfundisha.
🔔 SUBSCRIBE + LIKE + COMMENT neno HATIMA
#HatimaYangu #KakaJSimuliziTamu #SimuliziTamu #HadithiZaKiswahili
EP 01 - Utangulizi wa Shani (Intro)
EP 02 - Kijana Wa Mjini (Hii hapa)
EP 03 - Inakuja kesho saa 1 usiku
#SimuliziZaMapenzi #SimuliziZaKijijini #Mwamgongo #ShaniNaKiburi #SimuliziZaMaisha #StoryZaBongo