NAJIFICHA BY THE ALTAR CHORALE(TAC)-BUNGOMA
The Altar Chorale(TAC)-Bungoma
0:00 / 0:00
NAJIFICHA BY THE ALTAR CHORALE(TAC)-BUNGOMA
432 просмотра · 11 дней назад
The Altar Chorale(TAC)-Bungoma
221 подписчик
432 просмотра · 11 дней назад
NAJIFICHA
1.Najificha mwambani, mwamba imara ndiye Yesu kimbilio langu wakati wa shida;
Atupum-zishaye na kutuombea mema, Anaburudisha nafsi zetu sana, ndivyo tuna-mhitaji×2
Chorus
Mwamba wetu imara, ni Yesu kwake tunajificha;
Mwamba ulio thabiti tena kwake, tunasima-ma;
Ukitegemea Mwamba wa wokovu ushindi ni wako×2
2.Nikungojapo chini duniani, tumai langu mwamba wa wokovu; Tembea kishujaa mwambani, kinga yetu mbele nyuma na kando×2
Coda
(Ushindi ni wako, tegemeo letu, jiwe la pembeni-i twainamia kwako)