LEO TUMEKUTANA NA MJOMBA, AMETUHELEZEYA UJUZI WAKE NDANI YA KAZI HIZI YA VYUMA
Moreflex Media
0:00 / 0:00
LEO TUMEKUTANA NA MJOMBA, AMETUHELEZEYA UJUZI WAKE NDANI YA KAZI HIZI YA VYUMA
88 просмотров · 3 мес. назад
Moreflex Media
50 подписчиков
88 просмотров · 3 мес. назад
Tume kutana na huyu bro ambaye amefikia myaka kumi kwenye kazi yake yaku funga vyuma. Anaonekana kuwa mtaalamu sana.
Ila ameheleza changamoto kutokeya kwa wateja na mafundi pia.
Utaalamu na umakini mkubwa unahitajika sana kwenye hizi kazi zao kwasababu kuna design nyingi ambazo zina hitajika kufanywa na pia ana wasii vijana kufanya kazi sana.
Akuna kitu kama baati bila kazi.