VIJANA WAHIMIZWA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA KWA AJILI YA KESHO YAO
UMOJA DAIMA MEDIA
0:00 / 0:00
VIJANA WAHIMIZWA KUWEKA AKIBA NA KUWEKEZA KWA AJILI YA KESHO YAO
27 просмотров · 15 ч назад
UMOJA DAIMA MEDIA
3,58 тыс. подписчиков
27 просмотров · 15 ч назад
Mwenyekiti wa sacoss ya dayosisi ya kaskazinini Mch.Anna Makyao awewaasa wanachama na vijana kuwa na utaratibu wa kuweka akiba kwaajili ya kujenga kesho yao, pamoja na kuchangamkia fursa za umiliki wa viwanja katika miradi ya saccos hiyo iliyopo Msalato Dodoma na Bomang’ombe Mkoani Kilimanjaro.
Mch.Anna ameyasemaleo hayo leo oktoba 9, 2026 wakati wa tafrija fupi ya kuhitimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika tawi la saccos lililopo Moshi Mjini.
Baadhi ya wanachama wa Saccos hiyo, wametoa maoni mbalimbali kuhusu walivyonufaika na huduma za saccos hiyo.
Kwa upande wake meneja wa miradi na masoko wa sacoss hiyo Bw.Jeremia Chaki amesema chama hicho kitaendelea kutoa huduma zitakazojibu mahitaji ya wanachama na kutatua changamoto zao.
KKKT #DayosisiYaKaskazini #UmojaDaimaMedia #SACCOS #MchAnnaMakyao #AkibaNaUwekezaji #Uwekezaji #Maend