Wahitimu Rubya Seminari watoa Igizo kuhusu Malezi na Wito wa Upadre
Radio Mbiu
0:00 / 0:00
Wahitimu Rubya Seminari watoa Igizo kuhusu Malezi na Wito wa Upadre
2 556 просмотров · 5 мес. назад
Radio Mbiu
31,9 тыс. подписчиков
2 556 просмотров · 5 мес. назад
HABARI PICHA || MISA TAKATIFU MAHAFALI YA 43 KIDATO CHA SITA, SEMINARI YA RUBYA - BUKOBA
Makundi mbali mbali ya picha baada ya adhimisho la Misa Takatifu ya Mahafali ya 43 Kidato cha Sita, Seminari ya Mtakatifu Maria Rubya, kutoka Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa Mbinguni Rubya, Jimbo Katoliki Bukoba.
Misa Takatifu imeadhimishwa na Monsinyor Samwel Muchunguzi, Makamu wa Askofu Jimbo Katoliki Bukoba, kwenye Parokia ya Bikira Maria Mpalizwa mbinguni- Rubya, Jimbo Katoliki Bukoba.
www.radiombiu.co.tz
#rmsautiyafaraja