ZMA na Usalama baharini Tumbatu
Zanzibar Maritime Authority
0:00 / 0:00
ZMA na Usalama baharini Tumbatu
262 просмотра · 6 дней назад
Zanzibar Maritime Authority
194 подписчика
262 просмотра · 6 дней назад
Kuelekea Tumbatu,wananchi wengi wa visiwani Zanzibar,maeneo ya jirani na Tanzania kwa ujumla,katika msimu huu wa Mfungo 6 shughuli za Maulid ya Mtume (SAW) hushamiri sana jambo ambalo wengi wa wasafiri wanaoelekea kisiwani Tumbatu hulazimika kutumia usafi wa vyombo vidogo vidogo Baharini kama njia rahisi ya kuwavusha na kuwafikisha salama kisiwani humo.
ZMA ipo kuhakikisha taratibu zote za kiusalama zinazingatiwa wakati wa utumiaji vyombo hivyo.
Hapa tunahimizwa umuhimu wa kuvaa makoti ya uokozi 'life jackets' na jambo hili kwetu ni la lazima.
#views #foryou #zanzibar