USIFIWE | MARLIN IMUNYU feat. MALACHI DUNGA |
Malo_Records_Studio
0:00 / 0:00
USIFIWE | MARLIN IMUNYU feat. MALACHI DUNGA |
420 просмотров · 2 г. назад
Malo_Records_Studio
456 подписчиков
420 просмотров · 2 г. назад
LYRICS -
Introduction:
Oooh Aaah!! Na Marlin Once Again..
Malo! Malo!! Malo!!! Oooh!
Oooh! Oohhh!!
Eeeh!
Oooh Aaaiiih Eeeh!!!
Oooh Oooh Aaaiih!
Oooh Oooh Aaaiih!
Oooh!
Eeeh Eeeiiiihh!!!
Chorus:
Usifiwe, bwana usifiwe eeh!
Usifiwe, bwana usifiwe eeh!eeh! X4
Stanzas:
Ewe ndugu, nina jambo
Nataka niseme nawe
Ewe dada, nipe sikio
Niseme nawe
Tangu nimpokee Yesu
Maisha yamekuwa shwari
Mambo yote iko sawasawa
Nikiwa naye Mwokozi
Mambo ni Shwari..
Shwari! Shwari!!
Nani kama Mungu [Hakuna]
Nauliza nani huyo kama Mungu Weeh!!![Hakuna]
Nani kama Mungu [Hakuna]
Ninauliza ni nani kama Yesu Weeh!!![Hakuna]
Ni nani kama Yahwe? [Hakuna]
Wa kulinganishwa na wewe ni nani?
Eeeh!
Mungu baba
Hakuna wa kulinganishwa na we
Kwa neema yako
Umetupa uhai, baraka tele
Tulalapo na tuamkapo
Ni kwa neema yako
Kwa kila jambo
Ninalolitenda,
Kwa kweli utukuzwe!
Eeeh, Mungu baba
Wewe eeh
Wanitosha wanitosha, Mungu baba!!
CHR
Usifiwe, bwana usifiwe eeh!
Usifiwe, bwana usifiwe eeh!eeh! X4
Refrain:
Kwake Mungu kuna furaha tele
Kwake Mungu kuna amani tele
Kwake Mungu hakuna magonjwa
Kwake Mungu hakuna mateso
Chorus 2:
Usifiwe, bwana usifiwe eeh!
Usifiwe, bwana usifiwe eeh!eeh!
--------------------------------------------------------------
STUDIO: MALO RECORDS
PRODUCER: Malachi Dunga
Composers: Marlin Imunyu & Malachi
@2023/Nov.
---------------------------------------------------------------