Swahili Podcast || Episode 1 || Kujifunza Kiswahili Nje ya Afrika Mashariki
KISWAHILI KITUKUZWE
0:00 / 0:00
Swahili Podcast || Episode 1 || Kujifunza Kiswahili Nje ya Afrika Mashariki
1 036 просмотров · 3 года назад
KISWAHILI KITUKUZWE
102 подписчика
1 036 просмотров · 3 года назад
Mahojiano haya yanamshirikisha Faith Chinyimba. Yeye ni mzawa wa Zambia. Kwa sasa anasoma shahada ya Uzamili huko Beijing, Uchina. Licha ya kuzamia kozi ya Lugha ya Kichina, ameweza kujifunza lugha ya Kiswahili na kuwa na umilisi wa juu. Isitoshe, anawafunza wengine lugha ya Kiswahili.