Перейти к содержимому

Mambo 5 ya Kujiboresha Kila Siku 2025

G Online

0:00 / 0:00

Mambo 5 ya Kujiboresha Kila Siku 2025

1 000 просмотров · 1 год назад
G Online
34,3 тыс. подписчиков
1 000 просмотров · 1 год назад
Katika video hii, tutajadili mambo 5 muhimu unayopaswa kuboresha kila siku 2025 ili kufanikisha maendeleo binafsi na mafanikio. Nguvu ya Kuboresha Kila Siku. Mafanikio ni matokeo ya hatua ndogo, za mara kwa mara na nidhamu zinazofuatwa kila siku. Kila siku huleta fursa mpya ya maendeleo binafsi, na kwa kuzingatia maeneo muhimu, unaweza kuleta mabadiliko makubwa maishani mwako. Mambo Utakayojifunza: Kuboresha Mtazamo wako Kuboresha Mawasiliano yako Kuboresha Nidhamu Binafsi . Kuboresha Imani zinazokuzuia Kuboresha Usimamizi Wa Muda Music from #Uppbeat (free for Creators!): https://uppbeat.io/t/studiokolomna/mi... License code: 2K1ZNLDCWV7G6I6X ----------------------------------------------------------------------------------------------------- 🏆Lengo Langu 🏆"Ni kushare na wewe Masomo chanya juu ya mambo mbalimbali katika Maisha na kuhakikisha tunakuwa sehemu ya mafanikio yako. 🔴Nimeanzisha Podcast yangu mpya inaitwa Gonline kwenye Afripods, link hii 👉 https://afripods.africa Usiache pia kuniandikia kwenye comment section na share kwa wengine pia ila wajifunze zaidi. 🔴 BIASHARA, MATANGAZO, KUSHIRIKIANA NA USHAURI EMAIL: onlinemedia364@gmail.com WHATSAPP : (+255) 629-718385 👉 Usisahau Kujiandikisha (Subscribe) ili kupata maudhui zaidi kama haya! 🔔 Bonyeza Kengele ya Tahadhari (Notification Bell) ili usikose video zetu zijazo.