Перейти к содержимому

Jinsi Ya Kutoka Nje Ya Mwili? (Astral Projection) 3.

Rakims Spiritual

0:00 / 0:00

Jinsi Ya Kutoka Nje Ya Mwili? (Astral Projection) 3.

25 855 просмотров · 3 г. назад
Rakims Spiritual
46,1 тыс. подписчиков
25 855 просмотров · 3 г. назад
Jinsi Ya Kutoka Nje Ya Mwili: (Astral Projection) 3. #Astralprojection #kutokanjeyamwili Kutoka nje ya mwili ni nini? Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho. Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama. Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu. Watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza pale wanapokuwa wameshatoka ndio maana huitwa OOBE yaani Out Of Body Experience. Mapito yako ya Kutoka Nje ya Mwili umeexperience nini? Je, Ukitoka nje ya Mwili utakutana na nini? Basi fuatilia katika video na playlist hii kuweza kujitambua zaidi. Jinsi Ya Kutoka Nje Ya Mwili: (Astral Projection) 1.    • Jinsi Ya Kutoka Nje Ya Mwili? (Astral Proj...   Jinsi Ya Kutoka Nje Ya Mwili: (Astral Projection) 2. ASTRAL PROJECTION/Mental Projection. Ni ule uwezo wa mtu kutengana na mwili wake kwa fikra katika imani Husemwa Kiroho. Pale ambapo roho yako inakuwa imetengana na mwili wako wa nyama. Utokaji huu wa nje ya mwili upo wa aina mbili au tatu na wenyewe ni wa roughly watu wanafundisha kwa maelezo marefu na mapana hali ya kuwa ni kitu kifupi tu watu wanatakiwa kujua jinsi ya kutoka na mengine kujifunza pale wanapokuwa wameshatoka ndio maana huitwa OOBE yaani Out Of Body Experience. Baada ya wewe kutoka nje ya mwili umeexperience nini? Na kile ulichoexperience wewe sio kukiweka sheria maana kila mtu anaweza kutoka nje ya mwili ikiwa atapata muongozo mzuri sasa kuna watu tofauti tofauti wanaweza kutoka nje ya mwili nao wakaja na makala zao za kukurupuka na Experience zisizo na kichwa wala miguu wengine experience zao ni za dhana. NOTE: Ikiwa unapendezwa zaidi na video zetu basi usisite. ╔═╦╗╔╦╗╔═╦═╦╦╦╦╗╔═╗ ║╚╣║║║╚╣╚╣╔╣╔╣║╚╣═╣ ╠╗║╚╝║║╠╗║╚╣║║║║║═╣ ╚═╩══╩═╩═╩═╩╝╚╩═╩═╝ JIUNGE NASI! CONNECT WITH US! ======================================== YOUTUBE /    / @rakimsspiritual   TIKTOK /   / rakimsspiritual   INSTAGRAM /   / rakimsspiritual   FACEBOK /   / 61566429091668   JAMII FORUMS / https://www.jamiiforums.com/members/r... X / https://x.com/rakimsspiritual WHATSAPP / https://api.whatsapp.com/message/VSDC... ======================================== Rakims Spiritual: https://www.Unajimu.com/ ======================================== Rakims Spiritual.