Перейти к содержимому

UKUBWA WA JENGO LA DUKA LA DAWA MUHIMU DLDM ACCREDITED DRUG DISPENSING OUTLETS ADDO #dawa #drug

PDK Generation

0:00 / 0:00

UKUBWA WA JENGO LA DUKA LA DAWA MUHIMU DLDM ACCREDITED DRUG DISPENSING OUTLETS ADDO #dawa #drug

3 745 просмотров · 1 год назад
PDK Generation
21 тыс. подписчиков
3 745 просмотров · 1 год назад
UKUBWA WA JENGO LA DUKA LA DAWA MUHIMU DLDM ACCREDITED DRUG DISPENSING OUTLETS ADDO Kwa mujibu wa kanuni zinazohusika na usimamizi wa viwango na maadili ya uanzishwaji na uendeshaji wa maduka ya dawa muhimu (DLDM), jengo linalofaa kwa ajili ya huduma hiyo linafaa kuwa na ukubwa maalumu. Kwenye makala hii ndani ya channel yetu YouTube ya PDK Generation tumeweka maelezo kuhusu namna jengo linavotakiwa kugawanywa na ukubwa unaotakiwa.