Mambo matatu ambayo Kila mjamzito anatakiwa kujua⚠️
Elimu,Afya ya uzazi na tiba asili
0:00 / 0:00
Mambo matatu ambayo Kila mjamzito anatakiwa kujua⚠️
49 просмотров · 9 дней назад
Elimu,Afya ya uzazi na tiba asili
12 подписчиков
49 просмотров · 9 дней назад
Je, unajua kuwa Kisukari, Upungufu wa Damu (Anaemia), na Pre-eclampsia (Shinikizo la damu la ujauzito) ni miongoni mwa changamoto zinazowatesa wajawazito wengi na kuhatarisha afya ya mama na mtoto tumboni?
Kwenye video hii, nakufumbua macho na kukupa elimu sahihi ya jinsi ya kutambua dalili mapema, madhara yake, na hatua muhimu za kuchukua ili kujifungua salama.
📌 Kwenye video hii utajifunza:
1️⃣ Kisukari cha Mimba (Gestational Diabetes):Jinsi kinavyotokea na lishe sahihi ya kukidhibiti.
2️⃣ Anaemia (Upungufu wa Damu): Kwa nini wajawazito hupungukiwa damu mara kwa mara na vyakula vya kuongeza damu haraka.
3️⃣ Pre-eclampsia (Kifafa cha Mimba):Dalili za hatari za shinikizo la damu wakati wa ujauzito na jinsi ya kuepuka madhara yake.
👉 Bofya link hii kupata kitabu chako sasa: https://selar.com/m/lulu-asifiwe1]
📞 Kwa ushauri wa faragha (Premium Consultation):
Tuma neno "USHAURI" kwenda WhatsApp namba:+255 682 097 483
🔔 Usisahau ku-SUBSCRIBE, ku-LIKE, na ku-SHARE video hii kwa kina mama wengine ili tuokoe maisha! Acha swali lako kwenye comment na nitakujibu.
#AfyaYaMjamzito #KisukariChaMimba #Anaemia #PreEclampsia #KifafaChaMimba #AfyaYaUzazi #Malezi #Tanzania #GoldenBridge #MamaKijacho