Перейти к содержимому

IJUE SIDO: MCHANGO WA SIDO KATIKA KUKUZA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

Sido Tanzania

0:00 / 0:00

IJUE SIDO: MCHANGO WA SIDO KATIKA KUKUZA WAJASIRIAMALI DAR ES SALAAM

235 просмотров · 4 месяца назад
Sido Tanzania
1,64 тыс. подписчиков
235 просмотров · 4 месяца назад
Karibu katika kipindi cha IJUE SIDO, kinachoangazia mchango wa Small Industries Development Organization (SIDO) katika kukuza ujasiriamali, viwanda vidogo, na maendeleo ya biashara katika Dar es Salaam. Katika kipindi hiki utajifunza: ✅ Kazi na huduma zinazotolewa na SIDO ✅ Mafunzo kwa vijana na wajasiriamali ✅ Fursa za biashara na uwezeshaji wa mitaji ✅ Mchango wa SIDO katika kukuza ajira na uchumi ✅ Namna viwanda vidogo vinavyonufaika kupitia SIDO Usisahau: 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe 📤 Share video hii kuwafikia wengine wanaohitaji maarifa na fursa za maendeleo.