#live 20 SEPTEMBER 2026 1st sunday service
FPCT CITY CHURCH
0:00 / 0:00
#live 20 SEPTEMBER 2026 1st sunday service
51 просмотр · Трансляция закончилась 1 мес. назад
FPCT CITY CHURCH
744 подписчика
51 просмотр · Трансляция закончилась 1 мес. назад
Karibu sana FPCT City Church 🙌
Kanisa letu liko Buguruni, mkabala na SGR – karibu na wewe na rahisi kufika.
Ratiba za Vipindi:
Jumatano jioni – Mafundisho na maombi
Jumapili kuanzia asubuhi – Ibada kuu za sifa, maombi, na Neno la Mungu
Njoo upate uwepo wa Mungu, neno lenye uzima, na ushirika wa waumini.
Karibu sana, mlango uko wazi kwa kila mtu! 🙏✨