WECHE MAIYE
Advent glad heralds
0:00 / 0:00
WECHE MAIYE
19 просмотров · 13 дней назад
Advent glad heralds
144 подписчика
19 просмотров · 13 дней назад
1 Wathesalonike 4:13-14
13. Lakini, ndugu, hatutaki msijue habari zao waliolala mauti, msije mkahuzunika kama na wengine wasio na matumaini.
14. Maana, ikiwa twaamini ya kwamba Yesu alikufa akafufuka, vivyo hivyo na hao waliolala katika Yesu, Mungu atawaleta pamoja naye.