Перейти к содержимому

Sifuna afanya mazungumzo na Kalonzo Musyoka na Fred Matiang’i

NTV Kenya

0:00 / 0:00

Sifuna afanya mazungumzo na Kalonzo Musyoka na Fred Matiang’i

14 550 просмотров · 6 часов назад
NTV Kenya
3,17 млн подписчиков
14 550 просмотров · 6 часов назад
Tafuta-tafuta za umoja wa upinzani kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027 sasa zimeingia awamu nyeti. Edwin Sifuna leo amefanya mazungumzo tofauti na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka na naibu kinara wa Jubilee Fred Matiang’i, kabla ya viongozi wa vyama vya upinzani kujitokeza pamoja jioni Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya