Перейти к содержимому

ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO"

Global TV Online

0:00 / 0:00

ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO"

119 259 просмотров · 3 г. назад
Global TV Online
5,92 млн подписчиков
119 259 просмотров · 3 г. назад
ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO" Isaac Paul Hammoud au Nabii IPM ni Mtumishi wa Mungu ambaye awali alikuwa muumini mwenye itikadi kali ya Dini ya Kiislam lakini sasa ni nabii. Kwa Mujibu wa Nabii IPM mwenye kanisa lake maeneo ya Mbuyuni, Mbezi-Beach jijini Dar anasema kuwa siyo kwamba kwenye Uislam kuna tatizo, hapana, bali alitii wito wa Mungu. Anasema kuwa, katika kutii wito huo, alijikuta kwenye nyakati ngumu ikiwemo hatua ya kujaribu kujiua kwani hakuwa rahisi hata kidogo. ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx