HERI ZA BWANA | MCH: MICHAEL MTOKAMBALI | 05.08.2026
TUMAINI MOJA
0:00 / 0:00
HERI ZA BWANA | MCH: MICHAEL MTOKAMBALI | 05.08.2026
11 просмотров · 2 месяца назад
TUMAINI MOJA
8,64 тыс. подписчиков
11 просмотров · 2 месяца назад
Karibu kwenye Maombi ya Asubuhi 🙏
Katika siku ya kwanza ya maombi, tunaalikwa kumjua Yesu Kristo kama Mwokozi wetu binafsi. Kupitia neno la Mungu na maombi, tunajifunza maana ya wokovu, toba ya kweli, na kuanza safari mpya ya maisha ndani ya Kristo.
🔥 Lengo: Kuimarisha imani, kumkaribia Mungu, na kuishi maisha ya wokovu.
Jiunge nasi katika safari hii ya siku kumi za maombi na uamsho wa kiroho. Usisahau kushare, kupenda, na kuandika maombi yako kwenye comment.
#tumainimoja #wilsonzayoga
#SikuKumiZaMaombi
#sdachurchmagomeni
#MjueYesu
#YesuNiMwokozi
#Wokovu
#Maombi
#UamshoWaKiroho
#Imani
#NenoLaMungu
#WilsonZayoga
#Day01
#Mkristo
#MaishaMapya
#YesuKristo