Перейти к содержимому

#🔴LIVE🍀SEMINA/DAURA YA KIELIMU YA PILI 2026 - DAY 3🍀|MAAHAD IMAAM SHAFII SAHARE TANGA

IHSAAN TV

0:00 / 0:00

#🔴LIVE🍀SEMINA/DAURA YA KIELIMU YA PILI 2026 - DAY 3🍀|MAAHAD IMAAM SHAFII SAHARE TANGA

455 просмотров · Трансляция закончилась 3 мес. назад
IHSAAN TV
74,7 тыс. подписчиков
455 просмотров · Трансляция закончилась 3 мес. назад
🔴 LIVE 🍀 SEMINA/DAURA YA KIELIMU YA PILI 2026 – DAY 3 🍀 Karibu uungane nasi LIVE kupitia Ihsaan TV katika matangazo ya moja kwa moja kutoka Maahad Imaam Shafii – Sahare, Tanga. Semina/Daura hii ya kielimu ni sehemu ya programu ya kila mwaka inayolenga kuwajengea elimu wanafunzi wa Maahad Imaam Shafii – Tanga pamoja na Waislamu wote. Inaendeshwa na Masheikh waliohitimu Maahad Imaam Shafii, ambapo huwasilishwa darsa na mihadhara mbalimbali kwa mujibu wa Qur-aan na Sunnah kwa uelewa wa Salafus Swaalih. Hii ni Semina/Daura ya Pili, ikiwa ni muendelezo wa semina za kielimu zinazofanyika kila mwaka kwa lengo la kueneza elimu yenye manufaa na kuwajenga Waislamu katika dini yao. 📺 LIVE kupitia Ihsaan TV 📍 Kutoka Maahad Imaam Shafii – Sahare, Tanga Share, Like, Comment na Subscribe ili kheri hii iwafikie Waislamu wengi zaidi. https://www.youtube.com/live/n97d_IDR... #live #ihsaantv #redioihsaanfm1021 #ansaarmuslimyouthcentre #seminayakielimu2026 #maahadimaamshafii #tanga