Перейти к содержимому

#UTAPENDA MAANDAMANO YA MISA YA UPADRISHO MASHEMASI WA TANO JIMBO KATOLIKI LA BAGAMOYO

KANISA TV🙏💒, UTUME POPOTE ULIPO

0:00 / 0:00

#UTAPENDA MAANDAMANO YA MISA YA UPADRISHO MASHEMASI WA TANO JIMBO KATOLIKI LA BAGAMOYO

626 просмотров · 3 мес. назад
KANISA TV🙏💒, UTUME POPOTE ULIPO
5,33 тыс. подписчиков
626 просмотров · 3 мес. назад
#LIVE|| MISA TAKATIFU-DARAJA LA UPRISHO -PAROKIA MBWENI JIMBO KATOLIKI BAGAMOYO Misa imeadhimishwa na Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo akishirikiana na Padre Emmanuel Makusaro Paroko wa Parokia ya Mwenyeheri Isidori Bakanja Boko Jimbo katoliki la Bagamoyo ambae pia Dekano wa Dekania ya Tegeta #karibu endelea Kufuatilia, kusapoti na kuiwezesha KANISA TV ili iweze kutangaza zaidi Neno la Mungu kwa njia hii ya Kiteknorojia Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Ku share kwa Watu wengine waweza kutuunga mkono kutuma chochote kwajili ya kusapoti Uinjilishaji namba / Yas 0657793511 Jina Dominicus Haule pia Airtelmoney 0667213977 Dominicus g KANISA TV💒🙏, Utume popote ulipo🤝 Raha ya Utume kushirikiana 💒🙏🏾