Перейти к содержимому

Hongo ya Karao (Lyrics) - Toxic Lyricali, Mauru Gwash & Kapitani

LyricLike

0:00 / 0:00

Hongo ya Karao (Lyrics) - Toxic Lyricali, Mauru Gwash & Kapitani

5 462 просмотра · 2 мес. назад
LyricLike
42,7 тыс. подписчиков
5 462 просмотра · 2 мес. назад
🎧 Hongo ya Karao (Lyrics) - Toxic Lyricali, Mauru Gwash & Kapitani ⏬ Download / Stream: 🔔 Turn on notifications to stay updated with new uploads! 👉 Toxic Lyricali ‪@mbokadoba‬ 👉Mauru Gwash ‪@MauruGwash‬ 👉Kapitani ‪@ZienKapitani‬ ......... 🎤 Lyrics: Hongo ya Karao - Toxic Lyricali, Mausu Gwash & Kapitani Hongo ya karao siku hizi ni kithao Na kwa pori ni kimbao Pole mkubwa si si si madharau Nakivuta ndo angalau Niondokee hizo hizo hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondokee hizo hizo hizo swara zao Ndio kutoka reggae panguza rusha na luku wembe Na avoid tu maboyz in blue hao ni masenge Ni challenge Ju si ni shamba hao ni majembe Sijai sundwa na nachafua jiweke Na rada njege anadai kuganga afeel wicked Massage Mrazi na knuckles ikue message Hatuogopi shiet Fully bad tangu ancient times Mrenga wangu akiwa na maziwa sikuandamana na chai Under the Influence wanadhani hatuwezi thrive Si Maganji pekee inafanya nismile Ju ya deep boy mzuri masheria wakini define Nikivuta line, haiezi decline Sijai kubali kijana anizoee Kabla nianzee jaba naekanga defense Kuna deal naongoja iivane nieke meno fence Kuna keki ananitrace pesa yake ndo tunaspend Me not police but tutaje ukiwa na ngori Utamu ya ngusu inaanzianga kwa nyongi Sija jifanyia mtihani sina issue wakicopy We nikanje shida ndo ilinileta nairobi Hii ni top caliber, east side tuligan Naingiaga na madondo so sikosagi mapararira Asset ishafika, kwa wenye wanauliza Vitu hazijatumika sana ba bei ni ya kutuka Ngoja kwanza, asset si ya mkono wa pili pole kwa mwili nkisha bag ma milli Life we living kwa jungle ya simiti Hii ni rare ka rangi mpya kamitu Ju haijai kua rahisi Naeza ingia kwako na teke ka ya polisi Silali njaa lakini mtalala chini Tuko hunting, kijasho ka ya fisi Hongo ya karao siku hizi ni kithao Na kwa pori ni kimbao Pole mkubwa si si si madharau Nakivuta ndo angalau Niondokee hizo hizo hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondokee hizo hizo hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Mkoro alikua ananisomea, si ye nasomea Kaa akuna vile mbleina anamea Kijana utanipea, ama ujue mara haina spare Si kupenda, ni hali utanisamehea Nikona confidence, kama suicide bomber Caution ju hadi naeza ku torture Slaughter before kudeliver product Packy ni ya ghetto na sisi ndo ma sponsor Reminder, we haffi bad everyday Naeza sponyo continent nikose ku participate Underrate si ni warena hadi uki high rate Tukionekana njege hatajwi anavigate Hongo ya karao siku hizi ni kithao Na kwa pori ni kimbao Pole mkubwa si si si madharau Nakivuta ndo angalau Niondokee hizo hizo hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondokee hizo hizo hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondokee hizo hizo hizo swara zao Niondokee hizo swara zao Niondokee hizo hizo hizo swara zao #HongoYaKarao #toxiclyricali #maurugwash #kapitani FOR ANY COPYRIGHT ©️ CLAIMS/REMOVAL PLEASE CONTACT: denxlyrx@gmail.com