Перейти к содержимому

MALEBO PIANO SEBEN COVER 🎹

Outreach Ministry TV

0:00 / 0:00

MALEBO PIANO SEBEN COVER 🎹

3 586 просмотров · 3 месяца назад
Outreach Ministry TV
188 подписчиков
3 586 просмотров · 3 месяца назад
MALEBO COVER BY MUNISHI Lyrics Nina huzuni rohoni, mimi siimbi nalia Namlilia Malebo amekataa kuokoka Nilizoimba ni nyingi nikimuonya Malebo Bado hajabadilika, sasa siimbi nalia Malebo Malebo Yeye ni wangu rafiki tuliyesoma pamoja Michezo ya utotoni tuliicheza pamoja Sasa ni watu wazima na mimi nimeokoka Malebo nikimwambia yeye anaruka kimanga Malebo Malebo Nakuita Malebo uje kwa Yesu utubu Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa Jina lako la Malebo litaandikwa mbinguni Utakuwa kiumbe kipya, ya kale yote tapita Malebo Malebo Be blessed as you enjoy the music kindly subscribe, share, comment and like. #music #lyrics #fyb #treanding