GUARDIAN ANGEL - NIWEWE TU ft PAPA TOMASO (OFFICIAL VIDEO)
Papa Tomaso
0:00 / 0:00
GUARDIAN ANGEL - NIWEWE TU ft PAPA TOMASO (OFFICIAL VIDEO)
4 976 просмотров · 4 дня назад
Papa Tomaso
3,83 тыс. подписчиков
4 976 просмотров · 4 дня назад
“NI WEWE TU” ni wimbo wa kiroho unaobeba ujumbe wa imani, upendo, shukrani na kumtegemea Mungu katika kila hatua ya maisha. Papa Tomaso akishirikiana na nyota wa muziki wa Injili nchini Kenya, Guardian Angel, wameleta sauti na ujumbe unaogusa moyo na kumtukuza Mungu.
Wimbo huu unatukumbusha kwamba katika nyakati za furaha, changamoto, ushindi na majaribu, Mungu ndiye tumaini letu na msingi wa maisha yetu. Ni Yeye pekee anayestahili sifa, heshima na utukufu.
Ikiwa wimbo huu umekubariki, LIKE, COMMENT, SHARE na SUBSCRIBE kwenye channel kwa ajili ya nyimbo zaidi za Injili na ujumbe wa kumtukuza Mungu.
AHSANTENI WOTE .