Перейти к содержимому

MAGUFULI BEST SPEECH | UZALENDO ULIOJAA HISIA

Tingatinga speeches 🇹🇿

0:00 / 0:00

MAGUFULI BEST SPEECH | UZALENDO ULIOJAA HISIA

3 093 просмотра · 4 недели назад
Tingatinga speeches 🇹🇿
718 подписчиков
3 093 просмотра · 4 недели назад
Katika hotuba hii, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli anaeleza kwa hisia kuhusu uzalendo, kujituma, kufanya kazi kwa bidii na kuipenda Tanzania. Ujumbe huu ni ukumbusho kwamba maendeleo ya taifa yanaanzia kwenye moyo wa kila mmoja wetu. Karibu Tinga Tinga Speeches kwa hotuba, nukuu na ujumbe wenye kuhamasisha, kuelimisha na kugusa maisha. 👉 Subscribe kwenye channel na bonyeza 🔔 ili usikose hotuba na speech nyingine. #Magufuli #MagufuliBestSpeech #TingaTingaSpeeches #Uzalendo #Tanzania #JohnPombeMagufuli #Motivation #Speech