Перейти к содержимому

Utukufu Rapogi (Banana mass) - Live Wedding Performance 2019

MBEGU NYINGINE PRODUCTION

0:00 / 0:00

Utukufu Rapogi (Banana mass) - Live Wedding Performance 2019

442 534 просмотра · 5 лет назад
MBEGU NYINGINE PRODUCTION
86 тыс. подписчиков
442 534 просмотра · 5 лет назад
• Utukufu kwa Mungu juu mbinguni na amani iwe kote duniani,kwa watu wenye mapenzi mema. Tunakusifu tunakuheshimu na tunakuabudu baba tunakutukuza x2. • Tunakushukuru Mungu kwa ajili ya utukufu wako mkuu ee bwana,ni Mungu ndiwe mfalme wa mbingu • Ee baba mwenyezi bwana Yesu kristu ee mwana wa pekee ee Mungu mwana,kondoo wa Mungu mwana wake baba. • Mwenye kuziondoa dhambi za dunia utuhurumie tuhurumie upokee baba maombi yetu. • Ndiwe mwenye kuketi kuume kwa baba utuhurumie kwa kuwa ndiwe ,pekee yako ndiwe mtakatifu. • Pekee yako bwana ndiwe mkuu ee Yesu kristu pamoja naye,roho mtakatifu milele yote.