Перейти к содержимому

BINAMU MTAMU ...... [love story❤️❣️]

Dembo Media

0:00 / 0:00

BINAMU MTAMU ...... [love story❤️❣️]

2 400 просмотров · 3 месяца назад
Dembo Media
1,08 тыс. подписчиков
2 400 просмотров · 3 месяца назад
Binamu kwa kawaida ni Mtoto wa Mjomba au Shangazi lakini katika Sinema hii Imekuwa hivyo lakini ile hali ya ubinamu inavuka mipaka na kumfanya Mke wa Dembo bibie Loveness aingiwe na wivu mkubwa akijua wawili hao ni wapenźi Lakini Elizabeth ambae ni Binam wa Dembo anaona hiyo ndio Njia bora ya kuishi kwa uhuru na Binamu yake bila kujua anaacha alama mbovu machoni kwa Loveness Fuatilia mkasa huuu ili uweze kujifunza Vitu vingi Commen ,like ,share and Subscribe DEMBO MEDIA THANKS GOD