AMAN BONIFAS KIBALI (official Audio)
Amanboniphaceofficial
0:00 / 0:00
AMAN BONIFAS KIBALI (official Audio)
318 просмотров · 13 дн. назад
Amanboniphaceofficial
103 подписчика
318 просмотров · 13 дн. назад
KIBALI 🎶
Ndugu, jamaa na marafiki, kwa furaha kubwa napenda kuwakaribisha wote kusikiliza wimbo wangu mpya unaoitwa KIBALI. 🙏🔥
Ni wimbo wenye ujumbe wa imani, tumaini na kumtegemea Mungu. Karibu usikilize, ubarikiwe, na usisite kumshirikisha mwingine. ❤️🎧
🎵 KIBALI
🎤 AMANBONIFAS
🎹 Produced by DR. KEYS
KIBALI — Neema ikikutangulia, milango inafunguka. 🙏✨
Karibu sana kusikiliza na kushare! 🔥🎶