TUKIO KUBWA LA WIZI MAREKANI, BILLION 15 Tsh NDANI YA DAKIKA 64!
Shastory
0:00 / 0:00
TUKIO KUBWA LA WIZI MAREKANI, BILLION 15 Tsh NDANI YA DAKIKA 64!
190 просмотров · 4 нед. назад
Shastory
61 подписчик
190 просмотров · 4 нед. назад
siku wa 11 Desemba 1978, kundi la wezi liliingia katika uwanja wa ndege wa JFK huko New York na kutekeleza moja ya wizi mkubwa na maarufu katika historia ya Marekani.
Ndani ya takribani dakika 64, waliweza kuondoka na mali yenye thamani ya karibu dola milioni 5.8 — fedha taslimu na vito.
Lakini baada ya wizi huo, mambo yakaanza kuwa ya kutisha. Polisi walianza kuwafuatilia wahusika, baadhi ya watu waliohusishwa na wizi huo waliuawa au kutoweka, na sehemu kubwa ya pesa hizo haikuwahi kupatikana.
Walipataje taarifa za ndani?
Walifanikiwaje kuingia JFK na kutoka na mamilioni?
Na mamilioni yaliyopotea yako wapi mpaka leo?
#simulizimedia #simulizizakweli #simulizizamaisha #simulizizakutisha #historia #storytime #storytelling #storyteller #story #clamvevo #babaasma #dunia