Перейти к содержимому

HUDUMA TANO KWA KANISA (Mwelewe Nabii wa Agano jipya) 1- Mchungaji Carlos Kirimbai

Carlos Kirimbai

0:00 / 0:00

HUDUMA TANO KWA KANISA (Mwelewe Nabii wa Agano jipya) 1- Mchungaji Carlos Kirimbai

2 128 просмотров · 7 лет назад
Carlos Kirimbai
12,2 тыс. подписчиков
2 128 просмотров · 7 лет назад
Semina ya Neno la MUNGU, iliyofanyika Kilongoni, wilaya ya Mkuranga mkoani pwani, tarehe 21/1/2019 hadi 3/2/2019 Ili kupokea mafundisho kama haya unakaribishwa kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.