30: Kitabu Al-Kabair (Madhambi makubwa): Dhambi ya Kunywa Pombe (Muendelezo) — الكبائر للإمام الذهبي
Manhaj Online TV
0:00 / 0:00
30: Kitabu Al-Kabair (Madhambi makubwa): Dhambi ya Kunywa Pombe (Muendelezo) — الكبائر للإمام الذهبي
108 просмотров · 4 дня назад
Manhaj Online TV
13 тыс. подписчиков
108 просмотров · 4 дня назад
Katika darsa hii, Sheikh Ilyasaa Juma حفظه الله anaendelea na ufafanuzi wa kina kuhusu ubaya, madhara na hukumu ya unywaji wa pombe katika Uislamu, ikiwemo:
Hadithi ya Mtume ﷺ kuhusu watu 10 waliolaaniwa kuhusiana na pombe.
Adhabu ya anayeacha swala kwa sababu ya ulevi.
Hatima ya anayedumu na ulevi mpaka kufa bila kutubia.
Tofauti kubwa kati ya pombe ya Duniani na pombe ya Akhera (Peponi).
Masharti manne (4) ya kisheria ya kusimamisha adhabu (Hadd) kwa mnywaji pombe.
00:00 - Utangulizi & Marudio ya Darsa Iliyopita
05:32 - Watu 10 Waliolaaniwa Kuhusu Pombe (Hadithi ya Ibn Umar)
12:35 - Nusus za Imām adh-Dhahabī & Hadithi ya Amr ibn Shu'ayb
16:48 - Hatari ya Kuacha Swala kwa Sababu ya Ulevi
22:05 - Kinywaji cha "Tīnatul-Khabāl" kwa Watu wa Motoni
28:47 - Hadithi ya Jabir (Radhi za Allah zimwendee) & Ahadi ya Adhabu kwa Mnywaji Kilevi
36:27 - Kunyimwa Pombe ya Peponi kwa Mwenye Kunywa Duniani
44:47 - Mwenye Kudumu na Pombe Kufananishwa na Mwenye Kuabudu Sanamu
50:18 - Ufafanuzi wa Wanachuoni
57:46 - Tofauti Kati ya Pombe ya Duniani na Pombe ya Akhera (Peponi)
01:03:48 - Tofauti ya Ladha, Rangi na Harufu
01:08:18 - Tofauti ya Kihukumu & Kanuni ya Majina na Sifa
01:14:18 - Masharti 4 ya Kusimamisha Hadd (Adhabu) kwa Mlevi
01:23:19 - Idadi ya Viboko vya Hadd (40 hadi 80) & Hitimisho
📌 Subscribe kwenye chaneli yetu ya Manhaj Online TV kwa darsa zaidi, mawaidha, na nasaha za kisheria. 🔔 Gusa kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa kila tunapoweka video mpya.