Перейти к содержимому

MAKOMBORA ya IRAN YAUA WANAJESHI wa MAREKANI JORDAN - YAHARIBU NDEGE za KIVITA - MZOZO WAPANUKA..

Global TV Online

0:00 / 0:00

MAKOMBORA ya IRAN YAUA WANAJESHI wa MAREKANI JORDAN - YAHARIBU NDEGE za KIVITA - MZOZO WAPANUKA..

28 868 просмотров · 1 месяц назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
28 868 просмотров · 1 месяц назад
MAKOMBORA ya IRAN YAUA WANAJESHI wa MAREKANI JORDAN - YAHARIBU NDEGE za KIVITA - MZOZO WAPANUKA.. @onesmo sangalali CC; JUMA KAHEMELA Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kuwa limefanya shambulio kubwa dhidi ya Kituo cha Anga cha Al-Azraq nchini Jordan, ambacho hutumiwa na vikosi vya jeshi la Jordan pamoja na majeshi ya Marekani kwa shughuli mbalimbali za kijeshi katika Mashariki ya Kati. Katika taarifa iliyochapishwa kupitia akaunti zake rasmi za Telegram siku ya Alhamisi, IRGC ilisema operesheni hiyo ilisababisha vifo vya wanajeshi kadhaa wa Marekani na kuharibu ndege tatu za kivita za kisasa aina ya F-35, huku ndege nyingine tatu zikidaiwa kuharibika vibaya kutokana na mashambulizi hayo. ============================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 783 453136) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!   ⚫️ MAKALA ZA WATU MAARUFU ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx