WATUMISHI WA YESU NA MARIA // Paschal Machumu // KWAYA YA YESU KRISTO MFALME SWASWA
KWAYA YA YESU KRISTU MFALME Swaswa- Dodoma
0:00 / 0:00
WATUMISHI WA YESU NA MARIA // Paschal Machumu // KWAYA YA YESU KRISTO MFALME SWASWA
871 просмотр · 12 часов назад
KWAYA YA YESU KRISTU MFALME Swaswa- Dodoma
1,61 тыс. подписчиков
871 просмотр · 12 часов назад
SHIRIKA LA WATUMISHI WA YESU NA MARIA (S.J.M.)
ni shirika la kitawa la Kikatoliki lenye makao yake makuu huko Miyuji, katika Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma, Tanzania.
MUASISI : Lilianzishwa na Padre John Saronga Massawe, AJ (1932–2021), ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa Shirika na Gambera wa Uru Seminari kabla ya kuanzisha shirika hili mnamo mwaka 1997.
MAKAO MAKUU : Miyuji, Dodoma, Tanzania.
SHUGHULI : Linajihusisha na masuala ya uinjilishaji, malezi, na huduma mbalimbali za kichungaji ndani ya Kanisa Katoliki, likiwa na watawa (kama vile mabruda) wanaoweka nadhiri zao za kitawa.