Перейти к содержимому

SINTOFAHAMU: SAMIA YUPO WAPI?

JasusiTV

0:00 / 0:00

SINTOFAHAMU: SAMIA YUPO WAPI?

2 159 просмотров · 2 часа назад
JasusiTV
107 тыс. подписчиков
2 159 просмотров · 2 часа назад
Kumeibuka sintofahamu imeibuka kuhusu Samia Suluhu Hassan ambapo licha ya kuwepo kwa taarifa za matukio kadhaa aliyodaiwa kuyaongoza au/na kushiriki, hakukuwa na picha wala video za matukio hayo. Lakini kilichojiri hapo jana huko Arusha ndio kimeongeza zaidi sintofahamu hiyo. JasusiTV inakueleza kinagaubaga kuhusu sintofahamu hiyo #samiasuluhu #tanzania #habari TANGAZO: Kitabu kipya NYERERE TO SAMIA kinachofanya uchambuzi wa kina kuhusu mizizi iliyowezesha mauaji yaOktoba 29, 2025 kuanzia utawala wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia. Kitabu hiki kitakufumbua macho kwenye mengi usiyoyafahamu Tanzania. Kinapatikana kwa pre-orders hapa https://jasusistore.com sambamba na vitabu vingine SAKATA LA NCHIMBI, MAISHA HATARINI na MTANDAO.