Перейти к содержимому

KARIBU MGETA MOROGORO.

CLENG'A Inspirations

0:00 / 0:00

KARIBU MGETA MOROGORO.

6 939 просмотров · 7 лет назад
CLENG'A Inspirations
2,53 тыс. подписчиков
6 939 просмотров · 7 лет назад
Mgeta ni moja ya tarafa kubwa iliyopo katika Wilaya ya Mvomero. Ni miongoni mwa sehemu muhimu sana katika safu ya milima ya Uluguru. Mgeta inajulikana kwa sifa nyingi zikiwemo ukulima wa mbogamboga na matunda. Ni mahali penye mwonekano mzuri wa uoto wa asili ulio katika milima na mabonde huku ikitapakaa vyanzo vingi vya maji vinavopeleka maji katika Mto Mgeta ambao unaungana na mito mingine kujaza bonde la mto Ruvu. Watalii wa ndani na nje hufika Mgeta na kutembelea maporomoko ya maji pamoja na upandaji milima katika msitu wa mvua maarufu kwa jina la (MSITU WA BIBI). Juu kabisa ya MSITU WA BIBI kuna uanda wa kuvutia wa Lukwangule ambako ukifika utajionea maajabu kadhaa... Usingoje kusimuliwa, fika ujionee.