HOODMASHUP _ MADIWA MADAWA {offcial video 4k}
The real Hood Mashups
0:00 / 0:00
HOODMASHUP _ MADIWA MADAWA {offcial video 4k}
4 530 просмотров · 2 мес. назад
The real Hood Mashups
478 подписчиков
4 530 просмотров · 2 мес. назад
HOODMASH UP - MADIWA MADAWA
prod by @carryonrommy
dir by @vannyoungmusiq_
beat by @GeneBeats-p6h5q ft @carryonrommy
written by @HoodMashup
LYRICS:
TRUMMA JG:
Alooo alooo kaa mbavu naingia
"Nini hukuguude" me namshow ni hisia
Huezi ukarealate kama hujai pitia
Si tukiona impressa inabaki tunakimbia
Mh watoe syaka na dikwara
Vitu mob huku in hawawezi Kwara
Still madiwanian hata nkiwa ngara
Me sii mtanashati but lazima kung'ara
It's Funny hatufanani
Mapenzi ya mzazi huskii ndo najali
Peter parker akiumwa na spider me nliumwa na mbuzi
Huyu dem n po-ko lakini ye n mali
Pull up na kidaban , mmejaa riba za jaba
Click click pa pa , usijione bad man
Pull up na kidaban , taxin sii jaba
Pa pa , madiwa madawa
SCALLY:
Madawa madiwa ongeza na madiva
next time utanipata na Melissa
Dem flani nlipata Kwa kanisa
Nani dyna ,naeza patikana
Chuom flani hizo area za kuchana
Na maG si huskikisha mchana
Mali safi imefika na kidabban
Naskia imetokatoka German
Jina ni the hood kwa ground kuchachisha
Wasoro tumekam na Ile sound ya itoka
Alafu zikinice tunaanza kuzitoka
My guy naskia we ni diver
Huyu nyonyo anaringa na hajaiva
Hizi dream tunaamini zitaiva
Na mangware tukirau tunaiva
Is funny hatufanani
Samahani na Bado naitwa honey
Is funny hatufanani
Samahani na Bado naitwa honey
Is funny hatufanani
It's Funny hatufanani
Mapenzi ya mzazi huskii ndo najali
Peter parker akiumwa na spider me nliumwa na mbuzi
Huyu dem n po-ko lakini ye n mali
Pull up na kidaban , mmejaa riba za jaba
Click click pa pa , usijione bad man
Pull up na kidaban , taxin sii jaba
Pa pa , madiwa madawa
REDBARZ:
Mh yoh madiwa madawaVijana na madawa vitu zingine mnatumia Hadi shetani anashangazwa Ju wah kwan mnataka powers But sii ATI nawajudge lakini ni funny very funny hatufanani juu Hadi me nmefall in love na huyu miss miss flani yaani miss miss ngwai na me hubambika sana kwanza akiwa mlani puff jas na for sure Mali ni swafi alafu tomba gava msilegalize hatuwalambi juu Bado tunaziwasha hizi mashasha Mani oy nkona 30 ya kuvuta ngwai siuongezee mbao tukule Moja ya chwani skunking piga puff burukangaa vitu si huset zihutupea mabawa tuko zabe zimewaka shawri wako nikugawagawa na hakuna msee huongelea stress ya kujipatana Mali bila rizzler
It's Funny hatufanani
Mapenzi ya mzazi huskii ndo najali
Peter parker akiumwa na spider me nliumwa na mbuzi
Huyu dem n po-ko lakini ye n mali
Pull up na kidaban , mmejaa riba za jaba
Click click pa pa , usijione bad man
Pull up na kidaban , taxin sii jaba
Pa pa , madiwa madawa
MATATEZ:
Hey yo washa washa ikizima zimua nikona kilighter no filter na Design nikumoto no Oris badiies wanafinya madiwa madaw Alamdhulilali Ali mtahafu na wafu ndani ya bafu chimney
Scriii drift mali ni german staff na usijifanye mtafff dibre mbele ya chai pussy wall
Just a reminder hatufanani my bro so usibonge usoo coz utaenda home bila uso ama ukona kisoo
Uniwai mbili niache kuskia uso venye kumemewakaNow naroam bila shati sio sharti niiname naipata nikiwa standy
hakuna uwaganis hizi area uliskia jo hatucheki labda wee ubaki ukutucheki.
Pull up na kidaban , mmejaa riba za jaba
Click click pa pa , usijione bad man
Pull up na kidaban , taxin sii jaba
Pa pa , madiwa madawa