Перейти к содержимому

UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAFANIKIO AMBAO UTABADILISHA MAISHA YAKO | COSMAS MADULU

Hamasika Tv

0:00 / 0:00

UKWELI MCHUNGU KUHUSU MAFANIKIO AMBAO UTABADILISHA MAISHA YAKO | COSMAS MADULU

9 009 просмотров · 20 часов назад
Hamasika Tv
124 тыс. подписчиков
9 009 просмотров · 20 часов назад
Kuna mambo katika maisha ambayo tunapaswa kuyaacha kabla hayajatuchelewesha kufikia ndoto na malengo yetu. Katika video hii, tunazungumza kuhusu ujumbe mzito wa kufungua macho, mambo ambayo watu wengi huyapuuza, na kwa nini ni muhimu kujitathmini, kufikiri kwa kina na kuchukua hatua sahihi kabla muda haujaenda. 🔥 Tazama video hii hadi mwisho, kwa sababu sehemu ya mwisho ina ujumbe muhimu sana. 💬 COMMENT: Ni kitu gani unahisi unapaswa KUACHA ili maisha yako yaende mbele? na kitu gani kingine umejifunza kutoka kwa mtaalamu Cosmass Madulu 👍 LIKE | 🔔 SUBSCRIBE | 📲 SHARE na mtu ambaye unajua anahitaji kusikia ujumbe huu. #Hamasikapodcast #hamasikatv #Cosmasmadulu #Mafanikio #Kujitambua #Maendeleo #Motivation