KULE KWA NAMNA YA KIUNGU- MAMBO MUHIMU KUHUSU MALEZI
REV ANNAEL G. PALLANGYO
0:00 / 0:00
KULE KWA NAMNA YA KIUNGU- MAMBO MUHIMU KUHUSU MALEZI
24 просмотра · 2 недели назад
REV ANNAEL G. PALLANGYO
366 подписчиков
24 просмотра · 2 недели назад
AINA ZA WAZAZI
1. WAZAZI WAKALI.
(AUTHORITARIAN PARENTS)
Wanataka ufanye wanachotaka
Mtoto anapomuuliza maswali ni ishara
ya kukosa adabu.
Ni watu wanaojali kuhusu
tabia za nje za watoto kuliko tabia za ndani.
. Kuwa mzazi wa aina hii sio sawa
2. PERMISSIVE PARENTS
( UHURU ULIO PITILIZA)
Hawapendi kuwaudhi watoto wao.
Hawataki kuwakatalia watoto wao
Hataki kuwa kasirisha watoto wao
Hawatakiwa watoto wao waamue
maamuzi magumu.
Hawataki watoto wao wafanye kazi ngumu.
.
3. WAZAZI WASIO JIHUSISHA
( NEGLECTIVE PARENTS)
Anatumia muda mchache na watoto wake.
Hapatikani kwa watoto wake.
LAW OF FIRST MENTION.
-Anayetamka taarifa yeyote kwa mara ya
kwanza kwa mtoto wako kinakaa kichwa ni kwake.