KILIMO AJIRA YANGU-TARI KUWEZESHA KILIMO CHA KARANGA MIKOA YA DODOMA,SINGIDA NA GEITA
Adam Malima
0:00 / 0:00
KILIMO AJIRA YANGU-TARI KUWEZESHA KILIMO CHA KARANGA MIKOA YA DODOMA,SINGIDA NA GEITA
997 просмотров · 3 месяца назад
Adam Malima
667 подписчиков
997 просмотров · 3 месяца назад
Taasisi ya utafiti wa kilimo nchni TARI kituo cha Naliendele ambacho hufanya utafiti wa kilimo cha karanga kimegundua mbegu bora za karanga zenye tija kwa mkulima wa zao hilo ambapo baada ya utafiti sasa imejikita kutoa elimu kwa wakulima kuzalisha mbegu hizo ili iwe rahisi kusambaza kwa wakulima kote nchini. Mafunzo haya ambayo yamefanyika katika mikoa ya Dodoma Singida na Geita ni sehemu ya mikakati hiyo