Перейти к содержимому

Beka Flavour - Nakupenda (Official Video)

Beka Flavour

0:00 / 0:00

Beka Flavour - Nakupenda (Official Video)

1 078 963 просмотра · 2 года назад
Beka Flavour
363 тыс. подписчиков
1 078 963 просмотра · 2 года назад
Mmmhh... Nakupa sifa zote baby, unanichanganya changanya eweh baby iih, Kwenye sita kwa sita wee fundi baby iih.. Unanikoroga koroga sijiwezi iih eeh, Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aa, Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa, Mbalamwezi kwa kiza unanimulika mwezako me nang’aa ng’aah, Penzi la miujiza nalopata kwako nabaki tu kushangaa. Chorus Mpezi wangu nakupenda wewe tu, Me mwenzio bila wewe si kitu, Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu, Tuishi milele mpaka tuone vitukuu, Washachelewa aah aah oweoh, Ushawaiwa aah aah oweoh, Washachelewa aah aah oweoh, Ushawaiwa aah aah ooh oweoh. Verse 2 Mmh eeh aah, Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu, Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku, Kuna bebe zenu halafu kuna wangu ni mtu na nusu, Penzi linawaka waka halizimi si umeme wa luku, Yeye na mimi tupo sayari yetu sayari yetu, Tumeridhiana na yetu madhaifu madhaifu. Chorus Mpenzi wangu nakupenda wewe tu, Me mwenzio bila wewe si kitu, Tumwombe mungu atuepushe vitu vitu, Tuishi milele mpaka tuone vitukuu, Washachelewa aah aah oweoh Ushawaiwa aah aah oweoh, Washachelewa aah aah oweoh Ushawaiwa aah aah oweoh. #bekaflavour #bongoflavour #nakupenda