Перейти к содержимому

Muhimbili yaendelea kuthibitisha kuwa kinara wa huduma za ubingwa na ubingwa bobezi nchini.

Muhimbili TV

0:00 / 0:00

Muhimbili yaendelea kuthibitisha kuwa kinara wa huduma za ubingwa na ubingwa bobezi nchini.

276 просмотров · 3 месяца назад
Muhimbili TV
26,4 тыс. подписчиков
276 просмотров · 3 месяца назад
Katika hatua nyingine ya kihistoria, Muhimbili imeandika rekodi mpya kwa kuwa hospitali ya kwanza Tanzania kuwa na Daktari Bingwa wa mfumo wa chakula na ini kwa watoto, Dkt. Livin Mumburi. Hii ni sehemu ya dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia Wizara ya Afya, kwa kuendelea kuongeza wataalam wenye weledi wa hali ya juu na kuboresha huduma za afya nchini.