SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA
Rashid Dilunga
0:00 / 0:00
SHEIKH KILEMILE - UCHAGUZI MKUU NA AMANI YA TANZANIA
5 402 просмотра · 11 лет назад
Rashid Dilunga
3,21 тыс. подписчиков
5 402 просмотра · 11 лет назад
Amani ni jambo muhimu katika mustakabali wa jamii yoyote. Ndio (uoni) wa uislam na ndio unaotakiwa kuwa uoni (vision) wa falsafa yoyote ile.
Kwa kuwa sehemu nyingi duaniani hazina amani sasa hivi, ndilo jambo ambalo limemsukuma Sheikh kuongelea juu ya umuhimu wa kuilinda Amani iliyopo Tanzania, hasa katika Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2015. Hebu fuatana na Sheikh Suleiman Kilemile katika Mada upate mazingatio.