Перейти к содержимому

KIBAO CHA SHULE-AICT BUJORA CHOIR-(official video)

AICT BUJORA CHOIR

0:00 / 0:00

KIBAO CHA SHULE-AICT BUJORA CHOIR-(official video)

94 791 просмотр · 2 года назад
AICT BUJORA CHOIR
10,3 тыс. подписчиков
94 791 просмотр · 2 года назад
Shalom wapendwa katika Bwana. Tumekuletea baraka nyingine Tena ya neno la Mungu Kwa njia ya uimbaji. KIBAO CHA SHULE ni wimbo unaotukumbusha kuijua kweli ya Mungu na kuyafahamu maandiko yake viziri Ili tusipotoshwe na mafundisho ya uongo ambayo Kwa Sasa yametapakaa ulimwenguni kote na mengi yakilenga kujipatia fedha na si kuitangaza kweli ya Mungu. Ubarikiwe na wimbo huu kutoka AICT bujora choir #aic #gospel #music #trending #world #wide #aict Karibu kua nasi: INSTAGRAM: aicbujora_choir_official FACEBOOK: aicbujorachoir.