Watoto Wa Mjini - (RINGO) Series Episode 2
SHINING FILM TV
0:00 / 0:00
Watoto Wa Mjini - (RINGO) Series Episode 2
4 336 просмотров · 1 год назад
SHINING FILM TV
10,6 тыс. подписчиков
4 336 просмотров · 1 год назад
Watoto wa Mjini
(Drama/Comedy Series)
Description:
Karibu kwenye Shining Film TV 🌟
Tunawaletea series mpya yenye mvuto mkubwa – “Watoto wa Mjini” 🎬.
Ni simulizi ya watoto wa uswahilini, wanaojua maisha ya mitaani na mizunguko ya jiji. Wanaishi na mama yao ambaye badala ya kuwalea kwa maadili mema, anawafundisha mbinu za utapeli na wizi. Hata hivyo, safari yao ya ujanja hupelekea mwisho mbaya unaofundisha.
👉 Genre: Drama | Comedy
👉 Episodes: Mpya kila baada ya siku chache – usisahau kusubscribe ili usipitwe!
📩 Mawasiliano:
WhatsApp/Call: +255 744 212 76
Email: seggog@gmail.com
#ShiningFilmTV #WatotoWaMjini #DramaSeries #Comedy
#movie #filamuzakiswahili #film #filmbomba #comedy #funny #love #mustwatch #clam #clamvevo #dunia