CAF DRAW | Alichokisema Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji baada ya droo
Azam TV
0:00 / 0:00
CAF DRAW | Alichokisema Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji baada ya droo
22 156 просмотров · 19 часов назад
Azam TV
3,34 млн подписчиков
22 156 просмотров · 19 часов назад
CAF DRAW | ''Huwezi kuwa bora kama hujakutana na wenzako mnaolingana viwango''
Makamu wa Rais wa Yanga SC, Arafat Haji amesema timu hiyo ina uzoefu na baadhi ya wapinzani waliopangwa nao katika hatua ya makundi, huku akisisitiza kuwa watajipanga kuhakikisha wanafanya vizuri.
Aidha, amewahimiza mashabiki kuendelea kuisapoti timu yao katika safari hiyo ya mashindano.
Mambo yako LIVE #AzamSport1HD.