Перейти к содержимому

Je WANAOOKOLEWA NI WACHACHE ?

Trust the gospel ⏱️

0:00 / 0:00

Je WANAOOKOLEWA NI WACHACHE ?

219 просмотров · 4 недели назад
Trust the gospel ⏱️
943 подписчика
219 просмотров · 4 недели назад
Karibu tujifunze kuhusu wokovu Mathayo 7:13-14 13 Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. 14 Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache. . Luka 13:22-25 22 Naye alikuwa akipita katika miji na vijiji, akifundisha, katika safari yake kwenda Yerusalemu. 23 Mtu mmoja akamwuliza, Je! Bwana, watu wanaookolewa ni wachache? Akawaambia, 24 Jitahidini kuingia katika mlango ulio mwembamba, kwa maana nawaambia ya kwamba wengi watataka kuingia, wasiweze. 25 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako; . #love #jesuschrist #jesuslovesyou #jesussaves #salvation #jesuscristo