YESU HATAKUACHA | THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY
THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY CHOIR
0:00 / 0:00
YESU HATAKUACHA | THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY
2 060 просмотров · 1 год назад
THIKA CENTRAL WOMEN MINISTRY CHOIR
1,06 тыс. подписчиков
2 060 просмотров · 1 год назад
LYRICS
1. Yesu hatakuacha kwenye mashaka yako, yesu anakupenda na kujali wewe.
2. Japo kwa ukungu wa kutisha njiani kumbuka Yu karibu yeye hashindwi chochote.
3. Wakati wa uchungu yeye hubaki na wewe yeye ana uweza hutoshindwa kamwe.
Chorus
'''''Karibia miguuni pake Pana amani kamilifi Karibia miguuni pake nguvu twapata safarini (safarini)